Matthew 13:36

36 aKisha Isa akaagana na makutano, akaingia nyumbani. Wanafunzi wake wakamjia wakamwambia, “Tueleze maana ya ule mfano wa magugu shambani.”

Copyright information for SwhKC